@MickyJnr__ Hata hili Utopolo watakushambulia kuwa usishoboke na mchezaji wao wakati ni mchezaji wa Pyramids. Wavumilie dogo tunaishi nao tu hapa bongo ndivyo walivyo
Be extra careful in the work environment with those who like to maintain their position through charm and being political, rather than getting things done.
They are very prone to envying and hating those who work hard and get results.
They will slander and sabotage you without any warning.
Ningefurahi kuona sherehe za Mei Mosi zinabeba theme nzima za haki na wajibu wa mfannyakazi, na Kila anayealikwa ujumbe wake ubebe au utembee kwenye hiyo theme na sio jukwaa la kisiasa maana majukwaa ya kisiasa yako mengi. Hii ni siku muhimu kwa maslahi ya mfanyakazi
@MickyJnr__ Mwache huyu Binti mwenye mwanya @privaldinho aendelee kukushambulia lakini wewe dhidi kuchanja mbuga na Mnyama kama anavyofanya Baraka Mpenja
@mrembo_og Huyu ni mfanyabiashara wa siasa na si mwanamageuzi. Mimi tangu alipouza nafasi ya ugombea uraisi Kwa Lowasa na kumtema Dr Slaa ndio nikakitupa CHADEMA mazima na tangu wakati huo sijawahi kukiamini tena mpaka Leo hii. Acha tupiganie mabadiliko ya kweli ndani ya CCM nuru ipo
Tofauti ya nafsi na Roho
Nianze kwa kusema ya kwamba "Mizimu Sio Roho" imezoeleka watu wakiambiwa mizimu ni nini? Husema Mizimu ni Roho za Watu walio kufa, wengi hujidanganya hivyo.
Sihitaji kuwakosoa au kuwatukana nahitaji niwape maarifa niwaongezee hekima ya kweli.
Sishindani sipambani nimeamua kuishi katika ulimwengu wa Baba (Spirit Realm) angali nipo katika Ulimwengu wa Matrix (Virtual Simulation Matrix Worlds) au ulimwengu wa Watchers.
Naam, Kwahakika atakae pokea hekima hii ya Baba atafunuliwa ule ukweli mkuu.
Basi kwanini Mizimu sio Roho?
Kwanza huenda hatufahamu maana ya Roho na Nafsi pia hatujui tofauti ya kweli kati ya Nafsi na Roho. Nitakufafanulieni kadri Baba atakavyo fafanua kwangu.
Nitakufafanulieni Baba ni nani? na wala si vema kutumia viwakilishi vya mtu maana Siyo kiumbe you will understand at The End.
Neno Roho yaani Spirit ilitafsiriwa kutoka kwenye neno la kihebrania "Rauch" likimaanisha "Upepo" au "Pumzi" pia kisayansi ni "Energy" yaani Nishati.
Na neno Nafsi yaani Soul lilitafsiriwa lilipatikana kutoka kwenye neno la kihebrania "Repesh" likimaanisha "Breathing Creature" yaani "Kiumbe mwenye kupumua" hiyo ndiyo nafsi.
Hapo sijazungumzia mwili nimezungua Nafsi na Roho.