@HildaNewton21 Ni uongo kuamini watu walishindwa kununua gari mwenyekiti la 300m eti wanaweza kulea CDM ikiwa haina hata mia ya ruzuku
2020 hali ilikua mbaya kuliko leo ila CDM haikususa uchaguzi na ile ruzuku 2020 ndio imenunua makao mkuu haya mapya, vipi mwelekeo 2020 ungekua kususia?
@HildaNewton21 Dada hebu nyoosheni hoja yenu :- mnazuia uchaguzi au mnasusia uchaguzi ?
Kuizuia ni faida kwenu na kwa nchi ila kususia ni faida kwa CCM kwa watapita bila kupingwa maeneo mengi na ni hasara kwenu taasisi ya kisiasa uhai wake ni uchumi siasa inahitaji fedha ili ifike ground.
@abdulnondo2 Shida ni kwamba ajenda ya NRNE walioianzisha wameshindwa kuifafanua vizuri ndio maana kuna mkanganyiko mkubwa,mfano:- tuliambiwa reforms zisipofanyika hakutakuwa na uchaguziila saiv imekua hatutakua na chadema kwenye uchaguzi huu je Zisipofanyika kwa miaka 10 itakuaje?
@Dominicksalamb1 Ndg mwaka jana wewe pia ulipost hapa kwamba mkataba wa aziz ki ni mwaka mmoja na yanga sc anauzwaje ikiwa mkataba wake umeisha ???majibu tafadhali
@Twaha_Mwaipaya@Amlucas2 Press itafanya nini chair yuko jela ??? Press zilifanya nini kwenye kesi ya mbowe ? Mbowe alikamatwa baada ya kuja kuwajoin pale mwanza nn kilitokea wakati ule miezi 8 jela ....
@SimbaSCTanzania Huyu kocha wetu ni mhuni sana game tumeichukua tangu kipindi cha kwanza kashindwa kufanya hata sub kweli ,hii ni kama game ya azam kocha wetu hana mind game hata kidogo ,,,,,
Kabla hatujaelekeza mapambano kwenye kutaka mtandao wa X ufutwe , ni vizuri tukajiuliza maswali mawili ya msingi :-
1.aliyekua NAIBU WAZIRI alimuingiza chupa kijana wa kiume na yuko bungeni Leo na yuko uraini kwanini tulifurahia ?
2.Rc aliyelawiti yuko uraini Leo kwanini ?
@IsmailJussa MH jussa kwanini sheria yenyewe mpya inasemaje kuhusu tume iliyokuwepo,je wajumbe wake waendelee au watakoma ujumbe baada TU ya sheria mpya kupitishwa!!! Sasa kama wanaweza kutunga ambayo hawawezi kuitekeleza Kuna haja Gani ya kuwaamini wanaposema chaguzi huru na haki
@zittokabwe@TumeYaUchaguzi Kama hili la wao kujiuzulu TU limeshindikina,aliyesaini hii sheria mpya na kutoa ahad ya Uchaguzi huru ambaye ananguvu ya kuivunja tume hii ameshindwa kufanya,Kaka Bado unaamini kweli tunaweza kuwa na chaguzi huru na haki bila katiba mpya ?
@juliusmassabo@zittokabwe@ThatBoyKhalifax@ACTwazalendo Tunatamani mambo aliyotueleza kaka @zittokabwe kuhusu chama chake tuyaone huku chini hasa kwenye uchaguzi wa mitaa ,muwe na wagombea nafasi zote na mpate ushindi angalau 30% ya vijijini na Mitaa yote nje ya hapo zitabakia kubwa KIKI kama za yule RAIS Korea kusini.
@fatma_karume@CarolNdosi ardhi sio jambo la muungano kama ulivyosema ,huoni SSH kuamua swala la ngorongoro na DPW ikiwa anajua fika yeye anatoka upande wa ZNZ ni kujitafutia lawama yeye na uzanzibari wake jaribu kufikiria RAIS angekua wa BARA harafu akauza mji mkongwe wangesema Nini ukiwemo na wewe
@TunduALissu @JoelHamisMsuya @fatma_karume Kwenye huu mjadala Kuna mambo kadhaa nimejifunza :-
Ardhi sio mambo ya muungano kwann RAIS wa JMT awe na mamlaka na ardhi ya Tanganyika pekee na sio mpk Zanzibar ?
Nadhani ile tahadhari aliyotoa kwenye sakata la DPW ilikua na maana kubwa ,bahati tuliipuuza .
@mwigulunchemba1 2. Huduma za afya Bado ni changamoto kubwa hasa vijijini hakuna vifaa tiba wala wahudumu wa afya, madawa pia watu wanatembea umbali mrefu Ili kupata hudumu .
@mwigulunchemba1 Kwa muhtasari TU
1.asilimia 75% za vijijini na mjini zinasimamia na tarura hazipitiki kabisa iwe kiangazi au masika,tangu kuanzishwe kwa tarura barabara nyingi zimeharibika kbs mwambie MAMA yetu kwa upole.