@MsigwaPeter Wewe ni kiongozi wa kisiasa na dini pia lakini huna staha katika kuwasilisha hoja zako.mimi na kufananisha na mtu asiye na busara na hekima hustahili hizo nafasi ulizonazo maana wewe ni muhuni tu
@nikkwapili Kizazi makini ni kile ambacho kinaamini ktk kusaidiana, kulinda haki za binadamu, kinapigana na kutetea tamaduni zake na pia kinakua kinawajengea vijana uwezo wa kujitegemea zaidi hiki ndio kizazi makini