Dunia imejaa mabadiliko, kuna majira ya mvua na kiangazi, ya kupanda na kuvuna, ya kulia na kucheka.
Usihofu kama sasa ni wakati wa kusubiri au unapitia changamoto.
Akiba ya subira na imani huzaa faraja na matunda kwa wakati ufaao.
Mungu haachi kitu kikatike bila sababu.
🙏🏼
Safari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea
A man has only 5 ways out of depression;
1. Making money.
2. Hitting the gym.
3. Believing in God.
4. Chasing his purpose.
5. Building a loving family.
No porn, avoid sugar, drink water, run often, make money, pray daily, no distraction, start networking, develop skills, no parting, eat healthy.
Magic pill of life.