Mimi ningekuwa KAWAIDA ningejiepusha kutumia hayo maneno kwa mzee mtu mzima umri wa NCHIMBI. Ningewaachia wazee wenzake wayaseme sio mimi. Uenyekiti wa vijana sio kinga ya kukosa adabu.
Afisa Mahusiano ya Umma, Propaganda na Upotoshaji katika Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali akitoa ufafanuzi wa tuhuma zinazoikabili Serikali yake tukufu kwa niaba ya Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye yupo ‘bizee’ katika mambo ya festivo.
MWENYEKITI KWEMA? Tunaomba utupazie SAUTI sisi watu wa MWANZA(wa hali ya chini) maana CHADEMA ndo imebaki kua sauti yetu, MWENYEKITI huku mwanza ni mwezi na nusu sasa MACHINGA wananyanyaswa sana, hata ukiwa unatembeza hata kijiko unakamatwa unapelekwa jiji unapigwa UNAPIGWA unaumizwa ad unashindwa kutembea, af unawekwa ndan(wana kalokapu) pale jiji af unaambiwa ili utoke hpo unatakiwa ulipe faini ya laki3 kama huna ikifika jioni unapelekwa CENTRO asubuhi unatolewa centro unarudishwa jiji ukikosa iyo hela kazi inakua iyo iyo jiji to centro hawataki kukupeleka mahakamani, af huku mtaani mgambo wanaingia asubuhi wanatoka usiku saa tatu ad saa nne, inamaana hawataki upate hata mia, TUNAKUFA NJAA MWENYEKITI, tunaomba utupazie SAUTI!!!
Banana republic.
🚨Hii timu (SIMBA) ilipofikia kuna jambo moja mashabiki wanaweza kufanya kwasasa kunusuru afya yao nalo Kumwachia MUNGU tu...!!
Swali linaweza kuwa moja, Inawezekanaje Timu imtambulishe mchezaji mara mbili na bado asichezee hiyo timu...? Huenda mashabiki wako serious kuliko viongozi!
Viongozi wanampa wakati mgumu sana Ahmed Ally kuitetea klabu kwa mashabiki wa Simba...bahati mbaya yeye ndiye anakutana nao sana huku mtaani!
Yanga wamepiga kwenye matumaini...Mashabiki walikua wanajipa matumaini kwa Mwalimu baada ya Doumbia kushindwa kuonesha makali katika mechi alizocheza.
Okay, Mwalimu anatafuta maisha na ni kweli walishaenda wengi tangu kina Yondani, Okwi,Mkude, Chama, Mkude na wengine...Ila huyu alikua Surprise ya wana Simba pale Simba day!
Hili ni pigo Takatifu Yanga wamefanya na limewachanganya Simba na linaweza kupelekea umoja wao kuvunjika na kupoteza mechi ya kesho.
TUMWACHIE MUNGU🙏
𝐒𝐔𝐏𝐑𝐈𝐒𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄
Selemani Mwalimu Ni Mwananchi
Tuliwaambia anafanya mazoezi na timu ndogo, anakuja kuanza msimu na Klabu Kubwa🔰
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Nilijiambia for the next 1-2 weeks nitatulia kudili na issue huku background ila dah nimeshindwa,
Ona aliachofanywa kada wa CCM na serikali ya Samia Suluhu baada ya kumtetea Nchimbi.
@SenTedCruz@SenatorShaheen@SecRubio@StateDept@Europarl_EN@commonwealthsec@UN
The video you are seeing here is of a CCM party member who publicly supported the Vice President’s stance on justice and a new Constitution. He was abducted and tortured by Samia Suluhu’s government for supporting her Vice President against her wishes.
Samia Suluhu cannot be allowed to keep harming Tanzanians like this. She has to be stopped. Whatever it takes.
Tanganyika AMKA 🔥👊🏽
Vijana usiku huu wako bize wanasambaza vipeperushi kuamsha watanganyiks tupambane!
Kila mtu apambane anavyoweza! Hakuna kuwapa muda wa kupumua hawa wauaji mafedhuli!
Hadi tupate Haki 💪🏽🔥
#TutaelewanaTu#JusticeForMO29
Watanzania wanahitaji majibu ya maswali yafuatayo:
1. Ni kampuni gani imepewa zabuni ya kuingiza mafuta nchini?
2. Zabuni hiyo ilitangazwa lini, ilitangazwa kwa utaratibu gani, na ni kampuni ngapi ziliomba kushiriki?
3. Ni vigezo gani vilitumika kuichagua kampuni iliyoshinda zabuni hiyo?
4. Kampuni ya Namaro inamilikiwa na nani, imesajiliwa katika nchi gani, na ina historia gani katika biashara ya mafuta?
5. Kuna uhusiano gani wa kibiashara au kimiliki kati ya Oilcom, Namaro na Vitol?
Kaka, Ahsante sana kwa hii heshma ila nimekaa chini na nimefikiria sana ubaya na uzuri wa mimi kupokea pesa za diaspora.
Ubaya ni kwamba nikipokea hizi pesa basi nimepoteza nguvu ya kumtetea Heche kuhusu michango ya tone tone maana watasema “Huyo Manga lazma amtetee Heche maana yeye mwenyewe anakula michango ya Diaspora” , sasa nitajikuta badala ya kumtetea Heche niko busy kujitetea mwenyewe. Na chochote nitachosema kumtetea Heche au Chadema kwenye swala la tone tone hakitokuwa na nguvu tena kwa wananchi. Yani utetezi wangu utakosa uzito.
So mimi naomba nikae mbali na michango ili niwe na authority ya kupambana na mbwa za Samia zinazotaka kumchafua Heche.
Uchambuzi Bora kabisa kutoka kwa Furhan sikiliza kisha Bonyeza repost GAIDI.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo