Small Farmer| Hip hop ni utamaduni,Former player of Gwassa Vijana fc,Mpenda Haki| HGK, LLB019, Paralegal officer, BabaNard,Hiphop @chelseafc|@youngAfricanSc
@Sativa255 First half corner 4 inatoa, over 2.5 ipo wazi, kadi 1 first half nyeupe kabisa, both halves under 1.5 no…. Option zote hizo zinatoa hela leo
@kalage_jr@MoruoKing Mc anaweza kuwa Rapper ila Rapper kuwa Mc ni ngumu sana, Rapper anafanya ili apate chochete kitu ila Mc anafanya kwaajili ya jamii yake, (Hip Hop is to open someone eyes to see the truth)
@kalage_jr@MoruoKing Hip hop ni maisha ya kila siku, jinsi ya kuongea, kufikiria na hata kutenda mambo (utamaduni). Rap ni njia ya kufikisha ujumbe wa Ki muziki, mfano kwenye utamaduni wa hip hop kuna Mc huyu ni mtu anaye rap kwa kufuata misingi na kanuni za hip hop bila kuacha nguzo zake