Kwa mara ya kwanza CHADEMA itafanya maandamano kuelekea Ofisi ya UMOJA WA MATAIFA (UN)
Maandamano hayo yatapokewa na mwakilishi wa Umoja wa mataifa nchini Tanzania.
Haya ni maandamano ya kisayansi na kimkakati kuwahi kufanyika Tanzania.
TUKUTANE BARABARANI 24/JAN
3/6/1975Bunge lilipitisha sheria iliyofanya CCM kushika HATAMU (Party Supremacy)kuptia sheria hii Taaisisi zote za Umma ,Majeshi yote yakawa n mali yaCCM .Bahati mbaya tumeingia ktk vyama vingi wameendelea na mfumo huu kwa kujificha tunaona makanali wako ccm wakiwa
#KatibaMpya
Zimebaki siku sita (06) kuelekea maandamano ya amani Januari 24, 2024.
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜
1. Kuondoa Miswada mibovu 3 Bungeni.
2. Kupunguza gharama za maisha
3. Ianze mchakato wa kuboresha Katiba ya 1977
4. Kusikiliza na kuheshimu maoni ya watu
@fundimitamboGk @WilbertFidelim2 I can assure you kwa sasa tunahitaji majeshi yenye resoning! Na waliosoma ili kuwa msaada kwa jamii kuliko kuwa na majesh ambayo yanajuwa kupokea amri tu na kutekeleza!
Tuwe na jeshi ambalo kabla ya kutekeleza order isome vifungu vya sheria!,iangalie faida na hasara