‼️POLISI WALIA KUDHULUMIWA POSHO YA UCHAGUZI ? 😅
Mdau anadai kuwa mamia ya maaskari wapya waliofanya kazi chafu ya UCHAFUZI hawajapewa posho zao - wananung’unika tu! 🤣
Walijua CCM wanadhulumu upinzani na wanaharakati tu?
Sasa watajua hawajui ka kweli
#TutaelewanaTu
She’s a darling that deserves everything good .. She’s a rare Gem. So humble and down to heart.... her variety is rare to be found in this planet. I would marry her right at the parking lot. 💯🙄🤦🏾♂️
Maana halisi ya hardwork
Pays kuwa ndani ya mikoa
Mitatu(3) ndani ya siku moja na kufanya show sio mchezo
Kuna kitu wanamuziki Bongo wanaweza jifunza kwa huyu jamaa https://t.co/NODbR9h1To
Kuna mtu unae maishani mwako, na mnafaana vilivyo katika shida na raha ila watu hawapendi. Kama binadamu hatukosi Mapungufu. Kuna watu pembeni wapo Maalum kuangalia “loopholes” za kutumia kuwatenganisha. Na Sababu huwa wanajipanga kwa hoja na udhibitisho, hufaulu kuwatenganisha
“Possession make you rich? I don’t have that type of richness. My richness is life, forever.” #bobmarley
🎥 Bob is interviewed by reporter George Negus (60 Minutes Australia) at 56 Hope Road in Kingston, 1979.