@VungaEl74 Wewe chunguza ukiona mtu anabisha angalia jina lake utakuta ni abdala, Mohamed, Karim et hii jamii ni shida unakuta kutwa wanaitukana marekani huku wanatumia Facebook, Ista, Watsap, google, X , na zote hizi ni za marekani
@VungaEl74 Kwa huo ukatili waliofanya Kwa binadamu wenzio Mungu anawalipa Sasa. Utakuta waislamu wa tz wanasifia huo utawala usio na huruma mpaka unashangaa
@KennethKiplimo5@VungaEl74 Makombora hayako mahusisi kulenga shabaha iliyokusudiwa. Israel ana makombora Tena ya masafa marefu kuliko Iran Jericho 2 na Jericho 3 lakini hawezi tumia maana misheni zake sio on target. Ila Jet inapiga on Target.