Hakuna watu waliokuwa watuma salamu maredioni kama hawa
Mtoto wa Vitoto
Baba Nurat mfuga njiwa
Daudi wa kota
Fadhili Kangusi
Waziri Dero
Mkali Buntu
Eliud Samwel
Hamiss Full Migebuka
Riziki minde wa Kwata Unit
Chesko Mzee wa Matunda
Sharo Gangster
Joshua Turuka
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.