Nilichogundua Mdomo Wa Mwakinyo Ndio Unamponza Na Baadhi Ya Viongozi Wa Ngumi Wanaanza Kumbania, Haiwezekani Mapambano Mengine Yamefanyika Lkn Lake Ndio Limeshindikana. @JrMwakinyo Inakubidi Ujitafakari Uangalie Wapi Ulipokosea, Maana Utajikuta Unauwa Kipaji Chako. @azamtvtz
@tanescoyetutz Ndugu Zetu Wa Imani, Leo imekata Umeme #MabiboHostel Akati @TaifaStars_ Anacheza Leo Mechi Muhimu Ya Ushindi.... Daaah Sa Tutashangiliajee Ndugu Zetu Wa Umeme?????
Wanayotufanyia Tunajua, Na Wanajua Kuwa Tunajua Wanavyotufanyia. Lkn Still Tunaishi Nao.
Nigga We Dont Talk Mikausho Mikali Kibubu..
#mikaushomikaliπ
Usimthamini Saana Mtu Anayekupa Hela, Bali Mthamini Mtu Anayekupa Njia Za Kupata Hela. Eidha Iwe Ofisini Kwako, Ktk Kampuni Yako au Ktk Biashara Zako. Kwa Maana Anaekupa Hela Akiwa Hayupo Utakosa Hela Bali Anaekupa Njia Za Hela Hata Kama Hayupo Tayari Njia Zote Unazo.
#Mikausho
*UFOO NAILs & ACCESSORIES*
Karibu Ufoo Kwa Huduma Nzuri Kama Zifuatazo;
1- Kutengeneza Kucha
2- Rangi Ya Jelly
3- Rangi Ya Kawaida
4- Wanja Wa Piko
5- Kupaka Hina.
Pia Tuna ACCESSORIES za Jinsia Zote Kuanzia Shingoni Hadi Miguuni.
Kwa Mawasiliano Tupigie
>>>0621 059 799<<<