ROMA & DIAMOND, kati yao nani ni "MTETEZI" wa TAIFA lake kupitia KAZI zao.??? Kama ni ROMA, basi Retweet hapa chini. Ukiona ni DIAMOND basi like hapa chini. Tuanze KAZI.
@ze_mandevu Me simu yangu imepasuka kioo sioni vizur ulichokiandika ila napenda kuchangia kutokana na coment moja niliyoiona.. ninachosema mimi huyu kiongoz achukuliwe hatua Kali za kisheria iwe fundisho kwa wengine hawez kumsema vibaya magufuli ๐ง
Kijana anatamba kabisa kwamba alikuwa anaongoza kundi la kuchinja watu na anatumia hiyo as CV kuomba uongozi
Kwa msiomfahamu huyu ni kijana wa Sabaya ameshiriki matukio mengi ya kuteka na kuumiza Vijana wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Polisi wanajua na hawajawai mchukulia hatua
Nani ameikalia hii 'report' ya mauaji ya polisi Mtwara? TUNAITAKA HARAKA! Polisi wakavamia nyumbani kwa mfanyabiashara, wakamkamata na kupora Sh. 70 milioni. Wakamuachia. Akazifuata pesa zake kituoni. Wakamkamata na kwenda kumuua porini. Haiwezekani. Nchi yetu haiwezi kuwa hivyo.