@Elly_Ahmy @MdeePaschal kuto toa maoni si jambo linalo hitaji elimu yoyote ile bali ni utashi wa watu katka mitazamo yao https://t.co/szVConX3iM deen ya kiislam inataratibu zake za kiroho na si mihemko ya kidunia na kajamii nyingine zifanyavyo kuipenda sana dunia ili khari si makazi ya milele
@Elly_Ahmy @MdeePaschal ambao hakuwa na elimu ndiyo waliyo anzisha shule na kutengeneza mfumo mzima wa elimu na hata muhitimu wa kwanza duniani alitunukiwa shahada yake na wasiyo na elimu ila walikuwa na https://t.co/VISiZigDT8 si kila kitu ni elimu bali kila kitu uhitaji zaidi akili.kutoa maoni ama
@Elly_Ahmy @MdeePaschal pamoja.sasa we inawezekana ukawa una elimu lakn akili huna kabsa na ndo maana unacheka jambo lisilo chekesha kama hili!plz jitahidi kukaa kmya zaidi ili ujifunza na huenda akili ukazipata kwa ukimya wako!
@Elly_Ahmy @MdeePaschal sorry kwan shule ndo humpatia mtoto akili!hebu nambie waanzilishi wa shule walikuwa na elimu gani!kumbuka elimu na akili ni vi2 viwili tofauti sana!unaweza kuwa na akili usiwe na elimu na unaweza kuwa na akili na usiwe na elimu na unaweza kuwa na vyote yani akili na elimu kwa
@ayubu_madenge dah!ndg yangu some times huwa unabolonga kishenzi!Freeman Mbowe lini amekuwa muhasisi wa cdm!ama ndo unataka usifiwe na watu wake!Freeman Mbowe awe muasisi the late Bob Makani unamuweka wapi!Tume Sella unamuwacha wapi!the late Dr Aman Kaburu una mtupa wapi!time bye Mbowe ni