Tumewahi kuwa na vyama kadhaa vikuu vya upinzani.
Huko nyuma NCCR walipigwa vita vikali mno kama hivi, wengine wakasaliti wakahama, NCCR ikatema ndoano, raia wakaikatia tamaa.
Hata CUF Walipigwa vita sana wakaingia kwenye 18 wakaelekea kibla….raia wakaikatia tamaa…game over.
Utawala unaamini sana kuwa hata CDM itakuwa the same👆tena wanasemaga kabisa hata hivyo vyama vingine vilikuwa vikubwa zaidi ila saivi kiko wapi!!
Mimi sio CDM wala CCM lakini akili na moyo wangu vinaniambia CDM haifi kamwe!!
Sijui ni nini ila kuna inner sound inaniambia CDM iko ndani ya mioyo ya raia wengi mno, no matter nani ataondoka, no matter vyama vingine pinzani vitakuwa endorsed kiasi gani, BUT CDM ni tumaini la majority.
Family is everything..
Familia ndiyo kila kitu. Hakuna mbadala wa familia. Familia ni kila kitu. Ndiyo. Penda sana hiyo familia uliyo nayo. Mpende sana mkeo, mumeo, wanao, baba na mama yako, wadogo na kaka zako kwa nguvu na uwezo wako wote.
Ukipatwa na matatizo, ni familia yako itakuwa pembeni yako. Mfano, leo wewe unaesoma huu ujumbe; ukipatwa na matatizo, ukiwa ICU familia yako itakuwa pembeni yako. Wengine wakisubiri taarifa za kifo chako, wakuchangie na maonesho makubwa siku ya maziko yako.
Siyo wafuasi wako wa Facebook, Twitter (X), Instagram, Snapchat, au WhatsApp group members ambao kwa jumla yake wanaweza kufika hata 100,000 watakuwa karibu yako siku upo mahututi kitandani. Only your family that will never leave you anyhow. Hawatakuacha, familia yako.
Ukipooza, Mfano, ukashindwa kufanya kila kitu, ni mkeo, mdogo wako, kaka yako, mwanao, baba au mama yako atakuwa karibu yako, kukulisha, kuogesha, kukutawaza, kukuvisha na kutandika kitanda chako. Sio ‘side chick’ au hawa marafiki makanjanja. Trust me.
Nani anaweza kukutawaza? kukulisha? Anaweza kukuogesha? kukuvisha? Kutoka na wewe kuzunguka huko na kukurudisha nyumbani? Yote hayo ayafanye kwa mwaka mzima? Huo upendo utaupata kwa ndugu zako na mkeo au mumeo (kama atakuwa hajaharibikiwa akili).
Unaowaita marafiki, watakuja kuchungulia kitandani na kusema “uhali gani jamaa yetu” na wanaweza wasirejee tena hadi siku umepatwa na mauti au umesimama kitandani. Rafiki wengi ni ‘for the purposes of self-gratification’ sio vinginevyo. Watazame, utagundua hilo.
Marafiki, hawatakuwa tayari kusema na kaburi lako, hawatalitaja jina lako tena kwa mbwembwe na kumwaga sifa. Ni marafiki ukiwa hai. Hata ukiwa hai ni marafiki ukiwa na kitu. Hawana ‘urafiki' ukiwaomba msaada wa mali. Unaweza hata usiambulie maneno. Ukasengenywa. Mama yako anaweza kukufanyia hivyo?
Family, of course, are related to you by blood, regardless if they are part of your immediate family or extended family. They love you and you love them back (normally), you ride with them, you die with them, you cherish every last moment with them.
Wakati ulikuwa ‘haujiamini’ pekee yako, hauna imani na uwezo wako, ukifikiri hauwezi kufanya lolote, ukiona mzigo mzito ukikuelemea na kushindwa kufanya lolote, ni familia yako ilikuwa karibu yako ikikupa morali ya kufanya unachokifanya kwa nguvu na bidii zote.
In most cases, family will always have your back. Kama kuna baridi, watakupa joto. Kama unahisi njaa watakupa chakula bila masimango. Kama umehuzunishwa watakufariji. Kama wapo tayari kufanya haya kwa ajili yako, you need to put them on the top of your list.
Kati ya watu bilioni saba katika ulimwengu huu, watu ambao hawawezi kukata tamaa na wewe ni familia yako. Regardless of what happens, they will persevere with you. They have a great deal of respect for your presence and even your absence.. Hakuna mwingine atakuwa mama yako mzazi.
Leo, wapigie simu ndugu zako waeleze kuhusu kupata kazi, watakuwa na furaha kuliko wewe. Siku nyingine waeleze umefukuzwa kazi, hauna kitu, bado watakuwa na wewe na kamwe hawatakuacha. Their support would aid you in your efforts to maintain hope.
Because after all the friends have moved on, after all the work is done, after all the acquaintances and love interests and BFFs and drinking pals are gone, Family is all that stayed. They’re the lifelines. The reason why live happily, feel secured!
Your family members are the people who have your back when you need support; they’re the ones who cheer you on as you're celebrating life's successes; and they’re the ones who laugh with you (and only occasionally at you) during your silliest slip-ups.
Mshike mkono mkeo au mumeo, mtazame usoni, mweleze kwamba unampenda yeye na kizazi chake chote, mbusu shavuni na kisha andaeni chakula chenu na kula kwa furaha na familia yako.
“The bond that links your true family is not one of blood, but of respect and joy in each other’s life.” – Richard Bach
#MMM, Martin Maranja Masese
Cancer is not a dangerous disease!
Dr Gupta says, No one should die of cancer except due to carelessness.
The first step is to stop all sugar intake. Without sugar in your body, cancer cells die a natural death.