@Wowzi_TZ#JikuzeNaWowzi Wowzi ni Platform inayomsaidia mwenye biashara au kampuni kufanya kampeni kwa aina tofauti ya watumiaji wa mitandao kwa njia rahisi
Mwenyekiti upendo wa Mwenyezi Mungu sio binadamu kuwa mbali na matatizo ndio maana imeandikwa..
Zaburi 23:4 " Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji:
Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji Mhe. William Tate Ole Nasha amefariki dunia Jijini Dodoma. Natoa pole kwa Spika Mhe. Job Ndugai, Wabunge, Familia na Wananchi wa Ngorongoro. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
Wachezaji Ibrahim Ame wamerejea kujiunga kwa mkopo na timu ya Mtibwa ya Morogoro huku David Kameta akijiunga na Biashara United ya Mara kwa mkopo pia. Mlinda mlango Benno Kakolanya alirejea nchini baada ya kufiwa na mama yake mzazi.
Wengine ni Perfect Chikwende (Zimbabwe ๐ฟ๐ผ), Taddeo Lwanga (Uganda ๐บ๐ฌ) na Meddie Kagere (Rwanda ๐ท๐ผ). Wachezaji hao tayari wameondoka kambini Morocco ambako Simba imekwenda kujiandaa na msimu ujao wa mashindano na wameungana na wengine ambao wameondoka kwa sababu tofauti.
Jumla ya wachezaji wetu 12 wameitwa katika timu zao za taifa kwa ajili ya michuano ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022.
๐น๐ฟ - Aishi Manula, Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Kennedy Juma, John Bocco na Muzamiru Yassin.