@Big_Nicky01 Huu uzi mtamu kinoma aise ila maisha iko na mambo mingi wanawake huwezi waelewa wanatala nini waloolewa fresh wanachepuka balaa sababu za msingi hakuna manzi akikutana na wahuni wanajua kuhonga kutake care mzee hakuna mwanamke asiyechepuka hii dunia never🙌🙌🙌🙌🙌