MASWALI MACHACHE KWA WALALAHOI⬇️
1. Bunge la Tanzania linatugharimu zaidi ya billion 300 kila mwaka kulipa watu 400 tu posho kibao kwa kazi ile ile.
Vipi kama nusu ya hii fedha ingeelekezwa kufufua makampuni ya NAFCO tuliyoyaua kwa mikono yetu wenyewe? Tusingeongeza uzalishaji wa ngano? Ile billion 700 tunayotumia kuagiza ngano kutoka Urusi kwa trade deficit ya hali ya juu kabisa kila mwaka isingebaki Tanzania? Maelfu ya vijana mliowaua kwa risasi na mamilioni mtakaowaua tena na tena wasingepata ajira na kuendesha maisha yao??
2. Tanzania inatumia zaidi ya trillion moja kila mwaka kununulia viongozi magari ya kifahari na kugharamia maintenance yake. Wakati huo huo kilimo Tanzania, sekta inayoajiri asilimia 75% ya population, ndio least productive kwenye uchumi ikichangia asilimia 20% ya pato la taifa.
Vipi kama nusu ya hii pesa ingeenda kusambaza kwenye vijiji zile trekta za Massey Ferguson zinazouzwa million 60 tu, tusingeweza kupatia kila kijiji tractor ndani ya miaka miwili tu?🤔 Ndani ya miaka miwili tungekosa karibu tractor mbili kila kijiji?🤔
Hili likienda sambamba na kuwezesha vijana kumiliki ardhi ya kilimo, zile hecta million 30 zenye rutuba ambazo tumeziacha zilale tu zisingelimika? Production ya mazao ya kilimo isingeongezeka mara dufu? Reli za SGR, TAZARA, Reli ya Kati na Kaskazini, zinazobeba asilimia 3% ya freight capacity yake zisingepata mizigo ya kutosha na kufanya uwekezaji wake kuwa na tija zaidi?🤔🤔
4. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais Magufuli bungeni 2016, Tanzania inatumia zaidi ya billion 350 kila mwaka kugharamia safari za viongozi nje ya nchi, hiyo ni kabla ya Samia kuja na utaratibu wa kuongozana na mamia ya wasela wake kwenye kila safari kama tulivyoona Vatican, Dubai, India, South Korea, Marekani etc.
Vipi kama nusu ya hii pesa ingeenda kutengeneza incubators na accelerators ili kuchochea bunifu na vumbuzi za vijana pamoja na kutoa venture capital, tusingepata wezi wazuri wa teknolojia kutoka duniani kuja Tanzania? Tusingepata inventions za kutatua changamoto kibao zinazotukabili kila kukicha? Bado tungehitaji kutumia billions kununua general use technology kutoka China?🤔
Vipi kama nusu ya hii fedha tungewekeza katika kufungua processing industries, hata kama kwa udogo kabisa? Tusingeokoa mabilioni ya pesa tunayopoteza kwa kuuza madini ghafi India na kwingineko kila mwaka? Tusingeziongea thamani korosho za maskini kule Mtwara au ndizi za walalahoi kule Kagera na kuwafanya wafaidike na jasho lao badala ya kulanguliwa kwa kuuza mazao ghafi? Tusingeokoa matrilion ya pesa tunayopoteza kwa kuuza pamba ghafi na kuimport mitumba kila kukicha?
Ni ajira kiasi gani tungetengeza kwa ajili ya mamilioni ya vijana Tanzania ambao wapo stranded mtaani na wanaendelea kuongezeka kila uchwao?🤔🤔🤔
5. Fikiria mabilioni ya pesa tunayochezea kukimbiza mwenge na yale ya misafara ya mtukufu kila mwaka.
Vipi nusu ya hii pesa tungeichannel kwenda kwenye open education na kuwafanyia upskilling mamilioni ya vijana Tanzania ambao ni gravelly under or mis-skilled?
Hatuoni wanavyofanya wenzetu India na Philippines na namna walivyoweza kuwa hubs za offshore business process outsourcing duniani? Hatujiulizi wenzetu wamewezaje kuattract mamilioni ya ajira kutoka Marekani na kwingineko pasipo kujenga kiwanda?
6. Fikiria gharama tunayotumia kuendesha liserikali likubwa lisilokuwa na tija yoyote kwa umma. Leo tunatumia zaidi ya trillion 10 kwenye bajeti 2025/26 kwa ajili ya Utawala na Usimamizi, wakati bajeti yetu halisi ni trillion 42 tu (plus mikopo na misaada ndio tunafika 56).
Hivi, asilimia 20% tu ya hii pesa isingetosha kuweka maabara ya kompyuta kwenye kila shule ya umma Tanzania? Isingetosha kujaza vitabu vyote tunavyovihitaji kwenye hizi kompyuta na nyongeza kwenye maktaba? Isingetosha kuweka karakana, mashamba darasa, etc., na kuwapatia wanafunzi ujuzi unaoendana na mahitaji ya soko letu??
7.
8.
⬇️
⬇️
Ni nini haswa kinachotuzuia kushusha hili gamba linaloumiza mamilioni ya watanzania?🤔🤔
@EliabuDanford Ile ya Mtumishi anasema alienda mbinguni kwa siku nyingi akatembea au kutembezwa huko then akarudi hiyo ni translation ilifanyika? Translation Ina involve body tu au na spiritual realm?
@EliabuDanford Mtu anapofunga kwa muda mrefu consistently, anaweza kufanyiwa hiyo Translation bila kuonja mauti? Is it possible kwamba hata Sasa wapo watu wanaenda mbinguni like that way? "Watakatifu"
@EliabuDanford 1. Yesu alijivua utukufu na akafanyika mwanadamu halisi. Mwili siku zote as we know unapingana na mambo ya kiroho, so Yesu alikuwa akinyamazisha/kusulubisha mwili ili roho yake ipate nguvu kupitia huyo Roho Mtakatifu.
@Xauusd_fan Nitatoka Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa ajili ya kuangalia mashamba ya kulima chakula Cha mifugo mfano mahindi, soya etc
Pwani kwa ajili ya kufanya research ya food industry specific kwenye nyama soko likiwa Dar. Nitapata picture nzima ya fursa kwa mikoa miwili hiyo.
@EliabuDanford Uwezo wa kufanya alignment ya maneno, matendo na mawazo kwa ajili ya Bwana. Chochote utakachoweza kufanya kwa kuunganisha hivyo vitu vitatu na kusiwepo na kuachana ni Ibada.
@EliabuDanford Genesis 2:7 ...akampulizia puani pumzi ya uhai, mtu akawa nafsi hai.
Mtu akifa Roho means Ile Roho ya Mungu ndani ya mtu inakufa nayo? Is this correct?