Kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama ni muhimu sana kwa afya na ukuaji wake. Hizi hapa sababu kuu za umuhimu wa kunyonyesha mtoto maziwa ya mama:
Thread 🧵👇
KIPI UNAJUA?
Unene kwa mtoto ni ishara nzuri ya kuwa na Afya?
Zaidi ya watoto milioni 380(5-19) duniani wana uzito uliopitiliza/Kiribatumbo na Zaidi ya watoto milioni 38 duniani chini ya miaka 5 wana Kiribatumbo.
#MaleziniAfyaBora#Kiribatumbosioafya#afyayamtoto
Chanzo: WHO
Kati ya magonjwa ambayo ni hatarishi Dunia na yamesababisha zaidi ya vifo billion moja.
Hivo #ntds tunaweza ipunguza au kuiondoa kwa kuzingatia usafi wa vyoo na mazingira kwa ujumla.
Tuungane sote kutokomeza
#tupambanezidiyantds
Conjunctivitis Ni ugonjwa wa kuambukiza ambao huathir macho na hivyo macho kuonekana mekundu.Husababishwa na Virusi aina ya Adenovirus ambapo huenea kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mwingine kupitia matone,kugusana au kuchangia vitambaa vyenye virusi kutoka kwa mgonjwa
#conjucivitis
Hongera sana Haji jawa kwa kuwa mshindi wa t-shirt maalumu ya kampeni ya "No Earth B" baada ya kuwa mtu wa kwanza kuingia kwenye zoom meeting link.
Kaa karibu nasi kwa taarifa na mashindano mengine mengi yajayo💪✍️
PONA HEALTH GB Challenge imepamba moto 🔥🔥.
mshindi wa kwanza wa challenge hii Ni @Judge07_evarist,ushindi huu umeupata baada ya kuwa mtu wa kwanza Kulike na Kurepost Poster ya PONA HEALTH katika mtandao wa X
#postnaushinde#postnaponahealth
PONA HEALTH
AFYA YAKO KWANZA
Kwa Mujibu Shurika la Afya (WHO) kila siku watu milioni 1 hupata maambukizi kwa njia ya ngono zembe, huku wahanga wakubwa wakiwa ni VIJANA wenye umri kati ya miaka 15-49
Onyesha upendo, Linda kesho yake na ya kwako Kwa kutumia KONDOMU KWA USAHIHI.
#mlindenaumkinge#STIsandSTDs
Fahamu ya kwamba Mikoko ina uwezo wa ajabu wa kufyonza na kuhifadhi hewa ya ukaa nyingi zaidi kwa kila eneo kuliko mfumo mwingine wowote wa kiikolojia Duniani.
Epuka kukata na kuchafua mikoko na
hakikisha mikoko inatumika kwa njia endelevu.
#tunzamikoko#punguzahewaukaa
Tafiti zinaonaonesha kuwa, Mtu anaweza kuwa na Virusi Vya Ukimwi ndani ya mwili wake na akaishi miaka kumi(10) Pasipo kuonesha dalili yoyote ya kuugua.
#uelewajuuyaukimwi#
#TuilindedunianaVVU#
#Ponahealthupdates#
Wakati campaign yetu ya #noearthb ikiendelea, tunakaribishwa wote kuungana na @greenhealth_tz katika campaign hii.
Kwa kutengeneza poster yako kupitia hii link
https://t.co/kiszAhe2T6
ukimaliza post status na social media zote, usisahau kuwatag #greenhealth pia usikose mafunzo.
Are you a graduate looking to kickstart your career in medical journalism? We're seeking individuals to join us as a Junior Medical Journalist. Apply now to be part of a team dedicated to making a positive impact on the world of medical communication 👇https://t.co/0682qkyaFr