Mradi wa JNHPP umetoa ajira kwa wafanyakazi elfu 12 , asilimia 95 wakiwa wazawa na asilimia 5 wakiwa wageni. Sikiliza namna mradi huu umeleta manufaa makubwa katika maisha ya wafanyakazi hawa. Hii ni #SonganaSamia#SS
“Miradi inayoendeshwa kwa fedha za Watanzania ambazo ni fedha za umma lazima ziendeshwe kwa uwazi, kwa sababu rushwa mwenzake ni siri. Miradi yoyote inayoendeshwa kwa usiri mkubwa bila sababu za msingi lazima ilete mianya ya rushwa.”
-Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga.
I am truly honoured to meet Rt Hon Madam Speaker @AnitahAmong, Speaker @Parliament_Ug. I conveyed greetings from our Rt Hon Madam Speaker Dr @TuliaAckson, Speaker @bunge_tz . I sincerely thank Madam Speaker @AnitahAmong for her words of wisdom towards my growth as women leaders.
Nimekutana na vijana wa Hamasa Liuli, nimewakabidhi jezi timu ya mpira ya hamasa na timu ya mpira ya bodaboda kwaajili ya kuhamasisha michezo kuwa ni chanzo cha kukumbushana shughuli za maendeleo! @ Mbamba Bay Beach https://t.co/7F563W2I4w
A dream come true.
28 MPs from across the African continent are in #Malawi for the launch of African Parliamentary Network on Internet Governance #APNIG starting with inaugural 2-day #digitalpolicy symposium. Digital challenges are cross-border and so should be the responses.
Mhe @JudySalvio na Mhe @zainab_katimba wakiwa na Mhe Spika Madam Catherine Gotani Hara, Spika @ParliamentofMw leo katika Ufunguzi wa Semina ya Mtandao wa Wabunge Afrika katika Utawala Bora wa Intaneti. Nimefarijika sana wadogo zangu kuridhia mwaliko wangu wa kuwa Wajumbe #apnig.