WENGI wanaweza KUIGA unachofanya, ila hawawezi kuiga MVUTO unaowafanya watu wapende unachokifanya. MVUTO huanzia ndani ya MOYO na hutokana na NIA NJEMA iliyojificha ndani na MAKUSUDI ya MUNGU juu ya HATIMA ya MTU HUYO. Usikasirike watu wanapokuiga, Kuna Mstari Hawataweza Kuvuka.
Usiwachukie kwa sababu HAWAJAKUTAJA, endelea kuwa BORA kwenye UNACHOFANYA hadi siku MKUTANE mahali ambapo WATASHANGAA nani AMEKUTAJA hadi UKAFIKA HAPO.
Ukikutana nao HAKIKISHA MMESALIMIANA.
Sio kila ANAYEUJUA UWEZO wako atakutaja anapoona kuna FURSA inayokufaa.
Wengine watakaa kimya kwa sababu ya WIVU na kuna ambao hawatakutaja kwa sababu HAWAKUAMINI bado.
Kuna watu ni bora WAMTAJE mtu aliye mbali nao kuliko KUMUINUA mtu wa KARIBU YAO.
Sio kila ANAYEUJUA UWEZO wako atakutaja anapoona kuna FURSA inayokufaa.
Wengine watakaa kimya kwa sababu ya WIVU na kuna ambao hawatakutaja kwa sababu HAWAKUAMINI bado.
Kuna watu ni bora WAMTAJE mtu aliye mbali nao kuliko KUMUINUA mtu wa KARIBU YAO.
Kwenye kuanza maisha tambua
1. Kuna watu wanaanza kutimiza ndoto za wazazi wao then ndio waanze za kwao
2. Wengine wazazi walishatimiza zao so wanaanza direct Kwenye ndoto zao wenyewe
3. Na kuna wengine wazazi wao walitimiza ndoto zao na wakatimiza ndoto za watoto wao pia.
Kwenye Maisha Hakikisha
Umejikubali kwanza wewe
Mwenyewe Kabla wengine
Hawajakukubali ili siku ikifika Stage
Wakakukataa uendelee kujikubali
#BelieveInYou#juliastemuMEDIAbrandquote
Sifa hutafutwa kwa gharama nyingi sana
ila heshima huwa ni bure kabisa. Vitu hivi
viwili hukaa pamoja au visiweze kukaa
pamoja kutegemeana na mtu. kimoja
huanza kingine hufuata, kimoja huwa na
nguvu kupelekea kingine ila kingine huwa
na kasi ya kuharibu kingine
#juliastemuMEDIAupdates#USICHOKIJUA Dunia inabadilika na teknolojia inaenda kasi. Miaka iliyopíta, minara ilishinda teknoloja ya kutumia nyaya za simu; na sasa minara inakwenda kutolewa na Satelites za mawasiliano.
Link up #juliastemuMEDIAtech🌍
https://t.co/scuSy16a2C
The fact that a BUS driver can STOP to pick
you where there's NO BUS STOPBut the
same driver will REFUSE to drop you where
there's NO BUS STOPProves that people
ONLY need you when it's BENEFICIAL to
them. #juliastemuMEDIAbrand
N. W. A🙏
@JuliasTemu Just a mid-week reminder, in case you’ve missed the Space talk w/ Mr.Vito this Tuesday. We missed you too, but here’s the recording so you stay in the loop.
Click the link to listen to the whole chat! https://t.co/n9eIIODohE
Ubora unaweza kutaja ubora wa maisha ya watu wa nchi ambayo hufafanuliwa kama kulinganisha rasilimali muhimu kupata bidhaa na huduma fulani za kimsingi
#Luther Alifikiria sana kwenye suala la
- Ubora
-Umaarufu
Martin Luther Jr aliwahi kusema kuwa; si kila mtu anaweza kuwa maarufu. Bali kila mtu anaweza kuwa bora, kwani ubora unajengwa na huduma unayotoa kwa jamii. Tunaishi kwenye dunia ambayo kila mtu anataka kuwa maarufu na watu hupenda watu maarufu.
Ubora ni dhana ya kibinafsi. Ubora unahusiana na maoni ya kila mtu kulinganisha kitu kimoja na spishi nyingine yoyote ile, na sababu anuwai kama vile
utamaduni, bidhaa au huduma, mahitaji na
matarajjo huathiri moja kwa moja ufafanuzi huu.
Martin Luther Jr aliwahi kusema kuwa; si kila mtu anaweza kuwa maarufu. Bali kila mtu anaweza kuwa bora, kwani ubora unajengwa na huduma unayotoa kwa jamii. Tunaishi kwenye dunia ambayo kila mtu anataka kuwa maarufu na watu hupenda watu maarufu.