@eastafricatv@hemedyPHD Kuigiza ni akili nyingi zaidi ya 10000 tofauti na kuimba ndio maana tokea afe kanumba game bado halijarudi mahala pake jamaa alikua na akili 10000
Imechukua muda kujua kwamba Twitter wamebadili Retweet button colour from Blue to Green, kuonyesha kuwa wanaunga mkono kinachoendelea nchini Nigeria 🇳🇬 #June12thProtest