Kwa zama hizi za teknolojia ni vigumu sana kufanya biashara bila kuwepo kwenye mitandao(mitandao ya kijamii),wateja wengi wanaona kwanza biashara ndio wanashawishika kununua bidhaa hiyo.
Kwa hiyo uwepo wa mfanyabiashara katika mitandao ni muhimu sana.
Juma Jingi,
BA/SMMM.
@George_Ambangil Hapo mi mwenyewe mwana Arsenal namkatalia...Na Raya Sio Saves tu ni mwanzilishi mzuri wa mashambulizi lakin pia nilimsikia Arteta anamsifia kuwa Kuna vitu Raya anavizuia hata kabla havijatokea...he is that good
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 347
Mhe. Lissu anaendelea kumuongoza Shahidi wake ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA upande wa Tanganyika Amani Golugwa.
Mhe. Lissu: Katika Matukio yote ya mimi kukamatwa uliyoyasema, waeleze majaji kumbukumbu zako za mimi kutiwa hatiani kwa kosa lolote nililowahi kukamatwa nalo
Golugwa: sina kumbukumbu yoyote ya wewe kutiwa hatiani kwa matukio yote uliyokamatwa wala kushtakiwa nayo
Mhe, Lissu: Umenifahamu kwa muda gani?
Golugwa: Nimekufahamu kwa miaka 20
Mhe. Lissu: leo nashtakiwa kwa uhaini, kosa kubwa kuliko yote nchi hii, waeleze majaji kwa ufahamu wako uwezekano wa mimi kuwa mhanini kwenye nchi yangu
Golugwa: Waheshimiwa majaji kwa namna ambavyo namfahamu Lissu kwa hiyo miaka 20, ni mtu mwema sana na sioni uwezekano wa Tundu Lissu kuwa mhaini
Hapa shahidi ametiririka sana mpaka Majaji wamefurahi. Jaji Nduguru amesema CV yake Lissu ameshaitoa hapa Mahakamani.
Watu wamefurahi sana hizi dakika za jiooooni kabisa.
Mhe. Lissu: Kwa shahidi huyu nimemaliza maswali
Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama anasema hivi sasa ni saa kumi na moja kamili na kwa vile muda umeisha tunaomba ahirisho hadi kesho saa tatu kamili asubuhi kwaajili ya maswali ya Dodoso kwa shahidi huyu.
Jaji Nduguru: Shauri linaahirishwa hadi kesho saa tatu kamili asubuhi.
Inapigwa High Coouuuuuurt
Majaji wanatoka nje.
Mhe. Lissu anapack makablasha yake huku akiagana na Viongozi, Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA waliokuja Mahakamani siku ya Leo.
Naomba Repost yako.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 337
Mhe. Lissu anaendelea kumuongoza Shahidi wake ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa.
Mhe. Lissu: Umeshuhudia tatizo la wagombea kuenguliwa baada ya kurudisha fomu?
Golugwa: Nafahamu lipo tatizo la wagombea kuenguliwa.
Mhe.Lissu: Haya matatizo yamekuwa yanawakabili wagombea wa vyama vyote au Chadema pekeee?
Golugwa: Yamekuwa yakiwapata wagombea wa Chadema na vyama vingine vya upinzani isipokuwa CCM.
Mhe. Lissu: Je umewahi kumuona mgombea wa CCM alienguliwa?
Golugwa: Hawajawahi kabisa kuenguliwa.
Mhe. Lissu: Waeleze waheshimiwa majaji kuhusu ripoti za Kimataifa ulizosoma?
Golugwa: Ripoti za SADC, Umoja wa Afrika, EU na Taasisi ya Thabu Mbeki na hizi zote zilikuwa za Mwaka 2025.
Mhe. Lissu: Anza na Ripoti ya Umoja wa Afrika kwanza imesema Uchaguzi wa Tanzania hauna viwango na haujakidhi matakwa na miongozo ya chaguzi za kidemokrasia duniani.
Waliona wapiga kura wakipewa kura na wasimamizi na kuziingiza kwenye masanduku ya kura.
Anasimama Ajuaye anasema muda umeisha kwahiyo tuendelee kesho.
Jaji Ndunguru anaahirisha shauri mpaka kesho saa tatu asubuhi.
Naomba Repost yako
@emike120@SalimuIbwe Sio Daladala hiyo Mzee....watu Wana mipango yao ukisema unaondoka saa Moja ondoka saa Moja na ndio maana magari mengine kama Shabiby yanawapiga bao....
Kwenye hizi biashara consistency is the key