Nipo na hili jengo la stend nyegezi😕 huko ndani ukiingia halina biashara yoyote, tofauti na upande wa tiketi...serikali sijui huwa haihurumii matumizi mabaya ya pesa zetu!!!? Why machinga wasipewe hilo jengo? Basi bhana mimi nimeota hivyo
Mambo ya kustaajabisha🤔 stend ya nyegezi imefunguliwa bila kuhakikiwa, haina hata mashine za ushuru magetini cjui ni vigezo gani vimetumika na cjui mapato atakusanya nani na kwa utaratibu gani
@mshambuliaji@abed_2s 😁yaan Kuna vitu vinatia huruma,mwingine kaja na hofu yake kapaza saut et fei na hujum yanga kisa final....🙆..mwachen aende zake mbona mmekaza hvyo vp angelikuwa anawadai nyinyi,hela zenu kashawaletea chukueni mkasajil mwingine,au yanga Haina wazee wa busara?
@Sisimizi3 Kumbe unajua���....hili jamaa ukilipa madaraka czan Kama kunamtu ataongea Jambo likakubali maana kila kitu linajua,pia litafukuza kazi watu kuliko hata mjomba mg