Na misukule huko nyuma INAGONGA meza vibaya mno.
Kweli hii nchi "Aibu utaona wewe".
Huyu msenge nae ni WAZIRI eti.
Hajui lolote-kichwani mwake anawaza kula NYETO TUU.
VIDEO:
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala amesema safari hii chama hicho hakitakaa kimya, badala yake kitadai fedha nyingi za fidia kutoka kwa aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis ambao wamefungua kesi kwa mara nyingine tena kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakidai usawa kwenye mgawanyo wa mali za chama hicho kati ya Tanzania Bara na Zanzibar
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye viunga vya Mahakama Kuu leo, Jumatatu Juni 15.2026, Dkt. Nshala amesema chama hicho kimeingia hasara kubwa kufuatia kesi ya awali iliyokuwa imefunguliwa na Said Issa Mohammed na wenzake wawili, kesi ambayo ilitupiliwa mbali na Mahakama, hata hivyo inashangaza kuona wameirejesha tena Mahakamani huku madai yao yakiwa ni yaleyale
Kuhusu suala la Said Issa Mohammed kufukuzwa uanachama wa CHADEMA, Dkt. Nshala amesema jambo hilo litajulikana Mahakamani lakini wao kama chama wanatambua kuwa huyo si mwanachama wao kwakuwa alishafukuzwa uanachama.
‼️MAGARI YA JESHI YANASAFIRISHWA KWENDA WAPI🙄‼️
Jana nimepewa habari na watu kuhusu kuonekana kwa mahgari ya kijeshi yakibebwa
MSITUUZIE WOGA ❌ Na nyie JW labda kama ni utaratibu wa kawaida ila msitoe vifaru kutisha wananchi mnaotakiwa kuwalinda! Haya!
Jumbe mbili zenye data na video hizi hapa:
👉🏽 “Kuna Magari yamesombwa Jana Usiku ilikuwa mida ya saa tano usiku Nilikuwa nzega niliyaona Yamebebwa Kwenye sem (Long Vehicle) yakiwa yamefunikwa Turubai. Semi zilikuwa kama 8-10
Kwa kila Semi kulikuwa na Gari la Jeshi 04
Yakiwa na Escort na Gari la Jeshi hayo magari nadhan Watakuwa Wanahitaj Kuyasambaza juu yako kwa Mfumo wa Vifaru sasa Wenda Wanahitaj Kuja kutishia watu kanda ya ziwa juu ya Maandamano ya 7/7”
👉🏽 “Jana, msafara wa magari ya Jeshi uliosafirisha vifaru ulionekana ukitokea njia ya Dodoma–Iringa. Vifaru hivyo vilikuwa vinasafirishwa kwa magari ya kiraia, yakisindikizwa na magari ya Jeshi na wanajeshi. Inadaiwa magari ya upande wa Iringa yalisimamishwa eneo la Mlima Nyang’oro kupisha msafara huo.”
Tupo rada na hatutishiki!
7/7 loading na #TutaelewanaTu