@mangekimambi@realDonaldTrump Utumwa mambo Leo kuamin watu weupe wanaweza kuja kukupa unachotaka .nimeamin Africa ina safar ndefu katika ukombozi .wazee wetu wangekuwa na akili za hovyo hivi ata uhuru usingepatikana
@privaldinho Nasikitika sana kuwa paka sasa kuwa hujui News ziko spoiled don't trust everything televised .Israel nikosa lajinahi ku record na kushare image au video za athari za vita unajua why ?
@MariaSTsehai Njoo front na wewe sisi sio wajinga .hii nchi imejengwa kwa misingi kabla ata wewe hujazaliwa baba yako alikuwa mnufaika na hii mifumo ya nchi Am not Gen Z. I am millennium nina hoji hoja kwa hoja na sio kushikwa akili .
@Sativa255 Iv kuna watu wanafuata huu ujinga .Who are you kuwapa watu maelekezo .fimbo ya mbali hai uwi nyoka njoo ukae front wewe.Mna tuharibia mishe zetu kwa mishe zenu sisi sio wajinga bhna