@Jaychelsea_tz@Iamfelixtz Kwani kibwana ni mchezaji mbayaa kama unavyoo fikiriaa kwenyee ubongo wako ni time tu ya kucheza na ubora wa yao kwasi tu lakini since kipindi cha Nabi alikuwa anazimaa namba mbili mwanzo mwisho
@cleansheet_1 Usajili wa yanga wa mwaka janaa ... Bora ata wasingefanyaa usajilii yani mchezaji aliyeingiaa moja kwa mojaa ni okello lakini hawa wenginee tumechezeaa helaa