What was it with teachers kuchapa their own kids ni kama they hate them,ju my dad alikuwa ananiwekelea viboko till fellow students walikuwa wanauliza kama ni my real father😂
All the high-school scandals I was in were food related,mara kupatikana kwa bakery tukiiba mkate,kuhijack cook akibeba chakula ya teachers na kukula, kupatikana store tukikula,kupatikana kitchen during odd hours na bado sikuwa nanona aki
"Enda ufanye Raha huko unifasiti na watoto wa matajiri,ukunywe pombe na uvute bangi na wasichana usahau kwenye umetoka.Utakuja kujenga kwa kifua yangu ju ata shamba sina ya kukugawia"