@millardayo Mimi ni mkenya but nataka watu wajue kuwa kuna kitu inaendelea kwa ulimwengu wa Giza,,,na hao ndio wamemua magufuli juu alitofautiana na mambo Yao ya kishetani,,wamenunua mataifa mengi Sana ,,, nashukuru mungu magufuli amekufa akiwa amemuamini mungu .The U.S beast ndio inatawala
Karatasi nyeupe na usafi wake inaweza kutupwa kwenye pipa la taka, ila karatasi iliyo andikwa cha maana hata kama imechakaa itatunzwa hata vizazi na vizazi...
"Serikali imetenga Tsh. Bilioni 15.8 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini Mkoa wa Mtwara na unatarajiwa kukamilika mwezi March,2021, utekekelezaji wa mradi huu umefikia asilimia 90 hadi sasa”-Dkt.Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya
#MillardAyoUPDATES
@MsigwaPeter Na tawala zilizopita waliokuwa wananufaika ni nyie na waali ya chini hkn chacht, ila utawala huu gemu limechenchi brother ndo maana tunackia vaybu la kufa mtu... Watu wa hali ya chini wanakula Bata kama unabisha ni ww
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua miradi ya ujenzi wa Barabara na mifumo ya kupitishia maji inayosimamiwa na TARURA Mkoani Morogoro.
Mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Patrick Mfugale amewaeleza wajumbe wa kamati ya Bunge ya Miundombinu kuwa ujenzi wa daraja ya Tanzanite unaogharimu Sh243 bilioni umefikia asilimia 71.3 na unatajiwa kukamilika mwisho mwa 2021.
Mkutano wa Csw65 unaohusisha nchi wanachama wa UN zaidi ya 140 ambao kila mwaka unafanyika kwa njia ya mtandao mkutano ambao unatoa nafasi kwa wataalamu wanaohusika na masuala mbalimbali za utekelezaji kwaajili ya kuleta usawa wa kijinsia katika utekelezaji wa sera #Stand4herland
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania ktk Umoja wa Mataifa. Balozi Kennedy Gastorn akiongoza mkutano ulioandaliwa na Serikali na Shirika la Landesa pembezoni mwa Mkutano wa 65 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake ukiwa na mada “Women’s Participation in Land Governance in Tanzania”.