JUWADA ni jukwaa la uweshaji wanawake Kiuchumi, linalowaleta pamoja wanawake jijini Dar es Salaam, lengo lake likiwa ni kuwawezesha kufikia Uchumi wa viwanda
Kuwekeza katika uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake ndio njia sahihi ya kufikia mafanikio ya malengo ya maendeleo endelevu . Hii itatengeneza njia sahihi kufikia usawa wa kijinsia, kuondoa umasikini na kushiriki katika ukuaji wa uchumi wetu @yesforwomen
Wewe pekee ndio mwandishi wa historia yako. Mapambano dhidi ya umasikini wako, hayaitaji mkombozi mwingine zaidi yako. Wakati ni sasa........ tumia akili zako zote na maarifa yako yote kujiletea maendeleo. #wanawakenijeshikubwa#nomatterwhat ,
@sophiamjema1@AllyHapi@hashimmgandilwa Dar es Salaam itajengwa na watu makini. Hongereni sana wakuu kwa mkutano, hopefully ni katika ujenzi wa Dar yetu!!!!! HAPA KAZI TU
Maonyesho ya wajasiriamali wanawake yanayoandaliwa na Jukwaa la uwezeshaji wanawake Kiuchumi, yamesogezwa mbele. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Afisa Maendeleo Manispaa ya Temeke, John Bwana maonyesho hayo yatafanyika mwishoni mwa March 2018
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Temeke, John Bwana akizungumza na viongozi wa Jukwaa la Wanawake Temeke. Ikiwa ni kuelekea katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani. Maadhimisho hayo kwa Mkoa wa Dar es salaam yatafanyika March 8,2018 katika viwanja vya Chuo Kikuu
Karibuni nyote katika maadhimisho ya siku hii muhimu kwa mwanamke duniani. Ikiwa unataka kuona ama kujifunza na pia kupata fursa mbalimbali katika suala zima la uwezeshwaji hapa ndio mahala pake