MUNGU
Education Background
Misasi Primary school - Mwanza
Lake Sec (O'Level )
Lake High school (A' level)
ADA (SAUT)
PGDFA(SAUT)
Msc F & I (IFM),Now Phd Student
Siku saba tumemlalamikia Jaffo kuhusu tabia za watendaji kufunga ofisi, kukataa kutoa fomu za kugombea, kukataa kupokea majibu ya kilichoitwa mapingamizi. Kwa mfano Maswa wilaya yenye majimbo mawili watendaji wamekimbia ofisi kwa siku saba,hakusema chochote. Leo anasema nini eti?
ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU ya kujaza fomu kwa wagombea hamkuifanya ipasavyo, acheni kudeal na maswala ya kitaifa peke yake, Chama kiko kwa wanachama na sio DSM na Kinondoni mtaa wa ufipa HECHE
Tumejiondoa kwenye ujinga huu unaoitwa uchaguzi, tumefanya jitihada kubwa sana. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kati ya mitaa 4,263. Vijiji zaidi ya 12,319 tulisimamisha wagombea zaidi ya 85% imekua shock kwao. Hatutashirikiana na watu wasio na ridhaa ya wananchi.
Ni sahihi Mh Nape kumuomba Rais msamaha kwa kumwita Rais mshamba,limbukeni wa madaraka na aliye changanyikiwa ni jambo jema.Rais pia amefanya vyema kumsamehe kwani msamaha una faida kwa anaye samehe kuliko anaye samehewa.Nitamuomba Mh Lissu pia asamehe kwa faida ya roho yake.
Huyu ni RPC wa Mkoa wa Arusha... sheria zetu zimekataza kabisa majeshi yetu kuwa sehemu ya vyama vya siasa. Katika mazingira haya hili jeshi lina moral authority ya kusikiliza jambo lolote kati ya vyama vya upinzani na ccm?@tanpol@MariaSTsehai@fatma_karume@halimamdee
Jeshi kama hili na watu kama hawa wanawezaje kuwambia watu wengine waheshimu sheria za nchi au kukemea uvunjaji wa katiba..... IGP Sirro ukiukwaji mkubwa huu wa katiba unafanyika katika kipindi chako.... kamanda wa polisi wa Mkoa anajisahau kwa kiwango hiki ni aibu.
Brother upo salama @SuphianJuma? Ndugu zangu nimekuwa na wasiwasi ni siku ya 3 leo ndugu yetu Suphian hapatikani kwenye cm, mwenye taarifa zake atujuze maana si kawaida yake .