“Magazeti yaliyofungiwa tutaenda nayo case by case, Ofisi yangu iko wazi, waje tuangalie nini kilipelekea kufungiwa na nini kifanyike ili warudi kwenye utaratibu wa kuendesha Vyombo vya Habari kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa Vyombo vya Habari”- WAZIRI BASHUNGWA
Kwa wale wanaofuatilia. Huu ndio Mkataba kati ya Tanzania na EU kuhusu misaada.Ulisainiwa na aliyekuwa Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum June 2014. Jumla ya Msaada ni Euro Milioni 626 (1.6T Sh). Unaisha Juni 2020 na EU ‘wamesema’ hawatoi tena mpaka waone demokrasia inarudi nchini
EWURA YATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA
> EWURA imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika Novemba 4. Petroli na Mafuta ya Taa yamepanda bei huku Dizeli ikishuka
> Mabadiliko haya yametokana na mabadiliko ya bei Soko la Dunia la Mafuta
Soma https://t.co/QuzRIt2BwA
#JFLeo