Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakuu wa mikoa, makatibu tawala wa mikoa na waganga wakuu wa mikoa kwa njia ya video, akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma.
Wakati tukielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, ni vyema kukumbushana kwamba utendaji kazi wa M'bunge haupimwi Jimboni bali Bungeni.
Si kazi ya M'bunge kujenga madarasa au kituo cha afya. Hiyo ni kazi ya Serikali. M'bunge kazi yake ni kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Tuelewe hilo!
Nyie wanasiasa. Nawasihi na kuwaomba msiingie kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020 bila kurekebisha kasoro za uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019. Secondly bila Tume Huru ya Uchaguzi. Meko kajawa hofu lakini vyomno vyake vya usalama wanamjaza ujinga kuwa hakuna wa kuleta fujo hata kama.
@MmasaMmasa1 @earadiofm@Samagoal77_ Lakini kwan sanamu la mwalimu lilivyo pale nyerere skwea dodoma umeona tumeenda kuweka la Mwinyi, Mkapa au Kikwete.
Tunaweka la samatta kwasababu amekuwa wa kwanza kutoboa na si kwamba hakutakuwa na wengine🤓🤓
Chama tawala nchini Guinea Bisau tokea Uhuru wa Taifa hilo kutoka kwa wareno cha PAIGC ambacho mgombea wake alikuwa Domingos Pereira kimeondolewa madarakani na chama cha Madem G15 cha Umaro Embalo. Happy new year!
@HecheJohn@jjmnyika@halimamdee @JoeMugasa
Sasa ni 2020 kamili😂,
•Hakuna Ajira
•Mishaara haijaongezwa
•Hakuna maji Vijijini
•Hakuna umeme Vijijini
•Barabara Mbovu
•Vyuoni Kilio cha Boom
•Bei ya Sukarii 3000
•Uchumi Umeshuka
•Biashara za Watu mliharibu
•Nyumba Mmebomoa
•NoMilion 50 kila kijiji
•Hakuna Viwanda
Namshukuru Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingne maana ni wengi walitamani kufika umri huu ila hawakupa neema hii, nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea ktk maadili mema.
Zaidi namshukuru Mungu kwa kunipa marafiki kutoka kila kona ya Dunia mnaonipenda na kunithamini.🎂