Nikisema kuku wa kisasa wengi tunaokula Tanzania wanauzwa prematurely (vifaranga), utakubali?
Kuku wa broiler inashauriwa anakuwa tayari kwa matumizi akiwa na angalau uzito wa 1.8-2.5kg akiwa hai na baada ya kuchinjwa abaki na zaidi ya 1.3kg.
Average chicken wengi wanaouzwa mtaani wanakuwa na hadi gramu 700, ni a rare find kukuta kuku wa 1.3kg.
Kwa wenzetu, kuku wao huachwa kukua hadi kufikia kilo 2 wakiwa wamechinjwa. Yaani hapo labda ni kilo 3 akiwa mzima.
Hili suala lazima lina “side effects” kwenye public health. Labda tutakuja kugundua miaka mingi sana mbeleni kama tusipoanza kufanya regulation ya farm to table products.
NB: Picha hii sikuipiga Tanzania. Ni kuku wa kilo mbili.
Ujenzi wa SGR Lot III & IV unakabiliwa na wizi mkubwa. Serikali ituambie kwanini iliacha kutoa tenda kwa ushindani na ikatumia ‘Single Source,’ ambapo gharama ya 1km iliongezeka kutoka Sh. 1.4b/- hadi Sh. 3bn/-.
Waziri wa Fedha anapaswa kutoa maelezo ya kueleweka juu ya hili.
Sometimes upo zako kwenye hatua za awali za mental instabilities, ikiwemo Hallucinations, ila kwa kuwa wewe ni mtu wa imani, unadhani unaoteshwa ndoto za maono.
Leo kwa Mara ya kwanza baada ya miaka 45 kupita, hatimaye Fulham imeifunga Chelsea nyumbani kwake kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Mara ya Mwisho Fulham kufanya jambo hili ilikuwa mwaka 1979.
Jana mabehewa 264 ya kubeba mizigo kwenye Treni ya SGR yamewasili nchini. Mabehewa hayo 264 ni miongoni mwa mabehewa 1430 ambayo kampuni ya CRRC ya China imepewa tenda ya kuyatengeneza. Treni ya SGR ya Mizigo itakuwa inasafiri kwa Kilomita 120 kwa Saa. Hapa TRC Wametisha sana.
Wanasiasa wote ambao wanabebwa na merits ni nadra sana kuwakuta kwenye michongo ya upambe, ufitini, uchonganishi.
Utawakuta kazini tuu wanafanya mambo yao, wanajenga CV zao.