Experienced Marketer with Advanced skills in Training and Development, Consumer Insight generation and Communication Campaign Design and Execution.
KingPin๐
@MPictuss@BarakaMaviatu โZinaexpireโ
Hii setting sio nzuri tungeruhusu Kure-new kama familia ikihitaji kufanya hivyo kama hawana mpango umiliki urudi kwa Umma.
@MPictuss@BarakaMaviatu Niliona sehemu kama sikuona vibaya ni 70yrs, key actor akifa familia inakuwa na umiliki wa kazi zake kwa miaka hiyo, lakini wanaweza kure-new ownership. (Kama sikunukuu vibaya)
Watu wanaofanya biashara HARAMU tuko nao mitaani tunawaona toka wanaanza mpaka leo wana jeuri ya pesa. Zamani watu waliogopa kwa sababu wanajua magerezani ndio nyumbani kwa wahalifu ila sio sasa. Madogo wanakua inspired kufanya biashara haramu kwa kuona kaka zao.