Mananging Director Kajunason Media / Founder and Mananging Director KajunasonBlog / Journalist / Photojournalist / Editor / Blogger / Influencer/Entrepreneur.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Msigwa, ameagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari kuhakikisha nyaraka muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uanzishwaji rasmi wa Bodi hiyo zinakamilishwa mapema.
inDriver arrives in Dar
https://t.co/Sy8arxbDjt
inDriver has started operations in Dar es Salaam, the largest city in Tanzania. Now rides around the city and the surrounding area can be ordered at a fair price. The service has been successfully operating in Tanzania since 2018.
Ndugu zangu wana - UVCCM Morogoro namleta kwenu Ummykurudhum Shaibu Ally ... Tunaomba kura za ndiyo 👍🏻👍🏻👍🏻awe mwakilishi wetu. Ni muadilifu, msikivu na Mtendaji Mzuri... #uvccm#uvccmtaifa
Mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yafunguliwa kwenye uwanja wa Bandari jijini Tanga na kilele chake kitakuwa Novemba 12, 2022. Ni msimu wa tatu mfululizo ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuwawezesha vijana wa Kitanzania kupitia michezo.