@MiroTanzania na pia sisi ni waumini wa watoto wengi 8+ nikizaa na dada ako afu akijifanya kunikazia mtot kwangu sio hoja naenda kuongeza wengne kwingne
@MiroTanzania waha hatuachi damu nyuma hivyo tukizaa na dada ake afu akawa anatubania kumuona mtoto ....ajue atamlea mwenyewe....tunaamini kuwa " mtoto hagombaniwi 2. watoto wote ni sawa na hatujui atake kusaidia kesho...hivyo manzi akileta ujuaji ....HATUMBRMBELEZI TUNAMUACHIA MTOTO
mtanganyika kubaguliwa SOUTH ni jambo la ajbu na kulaani ila kubaguliwa Zanzibari ni kawaida kile si nikisiwa buana , tuwaache wana kardhi kadogo ikiwezekana tuwape na mkoa wa Tanga uwe zanzibar...watanzania bara tuache urohooo wa ajira....mzee mmoja BANDA UMIZA
siku hizi ukienda bar...ukiagiza maji muhudumu anakushangaa tena anakuuliza kuna huduma ya ziada unaitaka..ukijibu HAPANA....hapo ndipo mtakosana na muhudumu kama unahitaji msosi utaita mpaka na kusubiri mpaka ukomeeee!!
katika wanafunzi hao waliogushi taarifa ili wapate mikopo ni DHAHIRI kuwa mikopo ya elimu ya JUU HAITOSHI kwa wanafunzi2l 2. watoto wa mwasikini ndo wathirika!? 3 .serikali inaogopa kuwasamehe wakijua fika hata wakimaliza 90%ya hao hawata ajira ili walipe 4. sheria ni msumeno