@Sirjeff_D Dingi Ana mitatu ila huo mmoja badala ya balcn sjui yeye kuna bonge Moja la stoo ukiweza tu kupenya kuna mavyuma vyuma ya ajabu ajabu ukitoka na moja hela gerej chap
@KingPablotz Hiko kinaitwa kizalia
Yani mtoto amezaliwa na watu wenye ukoo wa watu weupe na weusi au wazaz wa mtoto mmoja mweus mmoja mweupe au mtoto anaweza zaa mtoto mweus au mweupe
Mfano hyo apo kwangu