@Labella_Mafia95 Sasa kunyeshewa mvua unatoka Kariakoo Tena Kwa bodaboda, Wengine tunanyeshewa mvua tunalima shambani hadi jioni na kurudi kwa Miguu umbali wa 20km na majembe begani.
@Ticha_tz @Phbhimself Mwandishi kweli umepuyanga yaani msaliti wa nchi kapewa miaka 14 unaona kifungo kirefu wakati Tz kupiga mimba mwanafunzi unakula miaka 30. Hiyo ni hadidhi unasimulia au ni kweli.