We caught an "elite" Israeli propaganda company using an open Google Sheet to track an operation.
Username? [email protected].
A BlackCore demo promised "dual track" operations to covertly suppress dissent:
🔴"Distraction campaigns during critical moments"
🔴"Coordinated reporting of policy violations"
🔴"Comment section dominance on news coverage"
They sought to deliver on that dominance using AI bots.
Black core has targeted:
☑️@NYCMayor elections per Meta
☑️ Municipal elections in France per @Viginum_Gouv.
We also traced BlackCore to a 14-week course for Angola's government where officials would be graded on AI use (again, hosted on a public subdomain!)
We found their ads & metrics: fake news outlets, AI personas, and deceptive posts that hit 20k likes...
Welcome to off-the-shelf influence ops. Clearly, they weren't afraid of getting caught.
Here's our @citizenlab report led by my colleague Alberto Fittarelli
https://t.co/L80Mjjbwaj
Mliokua mnaulizia huo mlango ni chuma au mbao; Ni chuma iliyo double yaan kma jinsi ulivyo nje ndivyo ulivyo ndani pia kama unavyoona hapo kwenye frem 1.
Frem ya 3 living room yake
Frem ya 4 dining yake
Pls help to repost
Na wengine waone
Try us kwenye finishing yako 🤝🤝
@yantorya Nina mpango wa kufungua Pharmacy, je unaweza kunisaidia vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kufungua Pharmacy?. Ikikupendeza msaada wako kwangu ili nitimize lengo langu maana location niliyopo hakuna kabisa duka la dawa.
Mambo 7 Mwanaume ukifika 30+ hayatakiwi kukuumiza akili
1. Kuogopa kutongoza mwanamke au kukataliwa na wanawake
2. Ukiona picha za uchi tu unawaza nyeto
3. Kusalitiwa na Mke au mpenzi wako
4. Kufanyiwa besidei na mpenzi wako au zawadi
5. Kuumizwa na ndugu zako [wakikufitini au kukutenga usiwaze pambana]
6. Maendeleo makubwa ya rafiki zako kimaisha kuliko wewe
7. Kuogopa kujaribu maisha mikoa au nchi nyingine tofauti na hapo ulipozoea
Tumekuwa busy sana kutafuta pesa huku tukitunga misemo fake “Pesa ndio kila kitu “tukaachia malezi TV , Shule na wasidizi wa ndani.Tulisema nataka nihakikishe watoto wangu wanapofika chuo kikuu wawe tiyari na mashamba , nyumba na mali.
Tukifikiri hii ni highest achievement ktk maisha kuliko utu,tabia njema na heshima.Sasa tunaishangaa jamii imekuwaje huku wazazi tukisema watoto wa siku hizi hawana adabu na kumbe ni wazazi wa jana hatakujali vizuri.
Kaa chini siku moja tafakari wajibu wetu ktk familia zetu na utagundua kuwa tumenunua nyama nyingi na juice kuliko kujenga tabia za familia zetu. Ni kweli kwenye friji kuna kila kitu je watoto wetu wanajifunza attitude sahihi kutoka kwetu ?
Tuwe makini sana tusije kuwa na shimo la maji machafu lililojaa vinono mbali mbali kuliko maarifa kwa watoto wetu ktk fikra zao. Kuna tatizo kubwa ulimwenguni , kubwa kuliko mabadiliko ya Tabia Nchi na Dunia haioni wala haisemi.
Dunia inaangushwa na ukosefu maadili kuliko kitu chochote.Kizazi chetu tunaweza kupiga U turn kwani hatujachelewa sana.Kama tukitafakari kuamua kuwa walezi halisi na sahihi sasa.
Tuna confusion society sio kwa sababu hila za shetani zina nguvu ila ni kwa kuwa muda wetu hauko kwa Mungu na familia.