Nikiwa darasa la sita, nilishika nafasi ya tatu huku mdogo wangu, ambaye alikuwa darasa la nne, akishika nafasi ya kumi na tatu. Licha ya matokeo yangu mazuri, mama alinikasirikia na akaamua kuniadhibu huku nikiwa nimelala juu ya meza.
#MICHEZO: Kocha wa Hispania, Luis de la Fuente, alimpongeza Cristiano Ronaldo mapema kabla ya Spain kuchukua World na kumtaja kuwa mfano wa kuigwa kutokana na nidhamu, kujituma na maisha yake ya kitaaluma.
De la Fuente alisema Ronaldo ni kielelezo kizuri kwa vijana na hata watu wazima, akisisitiza kuwa mafanikio yake yametokana na kujitolea, kufanya kazi kwa bidii na kutokukata tamaa kwa miaka mingi akiwa kwenye kiwango cha juu kabisa cha soka.
"Mimi ni miongoni mwa wanaomvutia Cristiano. Kama mchezaji na kama mtu. Ni mfano wa maadili kwa vijana na hata watu wazima. Ninamvulia kofia Cristiano." De La Fuente.
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_
Kikosi cha Argentina kimejaa wahuni sana, tena World Cup hii wamecheza kwa fujo mnoo. Jana wameonesha udhaifu mkubwa na tabia ambazo sio za wanamichezo. Baada ya kuzidiwa uwanjani na kufungwa, wakaanzisha fujo. Hawa walipaswa wakutane na ile Spain ya kina Sergio Ramos na Puyol.
Argentina imekuwa timu ya kwanza katika historia ya Football kushindwa kupiga shuti hata moja lililolenga goli kwenye dakika 90 za mechi ya fainali ya World Cup. Hawa jamaa walitaka kubeba kombe la dunia kihuni sana.
Hatimaye Football imeshinda na dunia nzima imefurahi. Hawa Argentina hawakutakiwa hata kufika hii fainali. Hawa walipaswa kuaga mashindano hatua ya 16 bora kwenye ile mechi dhidi ya Misri. Hongera Spain kwa kuleta utulivu wa dunia.
🚨🚨 Egypt’s Ziko: “The referee is unfair, God is sufficient for me and the best disposer of affairs. He's wasting the effort of an entire nation”.
“The cup is being given to Argentina. They win the World Cup”.
If this was Ronaldo’s last game for Portugal, he leaves having played most international games in history (233), scored most international goals (146), and become the only man to score in SIX different World Cups. Congrats, @cristiano - you’ve done your country & family so proud.
Cristiano Ronaldo saw the message of the Venezuelan boy who lost everything after the earthquake and he took action ❤️🩹🙏🏼
In addition to sending him words of encouragement, he invited Andrés to meet him: “I want you to attend one of my games!”.
Sending strenght and all best wishes to Andrés 💭
🚨 Roberto Martínez when asked about not subbing off Cristiano.
“It made no sense at all to take off Cristiano Ronaldo who is the best goalscorer in history off the field when we were looking for goals”.
@EsirEid Hata kufikiri tu kwamba mwenye iphone lazima awe na gari au awe na hela muda wote mkononi au kwenye acc nao ni umasikini.
Kuna watu wamechagua kukosa kila kitu,gari zuri hana,nyumba nzuri hana,simu nzuri hana,ndio maana muda wote wanaonekana wana mawazo🤣🤣🤣🤣