Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha, ndugu wa familia wamethibitisha
Kuna HASIRA inamea Tanzania. Hasira hujenga CHUKI. Chuki hutenganisha watu. UTENGANO ndio safari ya uadui. UADUI huleta UHARIBIFU. Tunaharibu TAIFA la Tanzania kwa kushindwa kuheshimu hata KATIBA iliyopo. Mliokula VIAPO toeni USHAURI kwa HEKIMA. Yakiharibika SOTE tutaharibikiwa🤗
🇹🇿Tanzanian opposition leader Freeman Mbowe and ten other Chadema party leaders have been arrested on suspicion of inciting “unauthorised assembly”. Party officials told the BBC that they do not know where Mr Mbowe is currently being held.
More 👉https://t.co/W3z7xfS5No
Ndugu Abiria, je mnaifahamu namba ya dharura ya Zimamoto na Uokoaji?
Kama hamuifahamu ni 114, ole wenu mshindwe kutoa taarifa mapema mnapopata majanga.......
(Picha kwa hisani ya Mtandao)
Z^M
Hali sio nzuri, mosiba mingi, ushauri kwa @wizara_afyatz ma serikali kwa ujumla simamisheni matamasha, mikisanyiko pia mabasi ya @DARTMwendokasi yazuiwe kusimamisha abiria. Mama @SuluhuSamia tumesikia ukipiga kelele jiu ya UVIKO 19 ila inaonekana hatupo serious watu wanaona poa
Nakupa pole Ndg. @freemanmbowetz (Mwenyekiti wa CHADEMA) na wafiwa wote kwa kuondokewa na ndugu yenu mpendwa Charles Mbowe. Nawaombea moyo wa subira, uvumilivu na ustahimilivu katika kipindi hiki cha majonzi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, Amina.
Nawaza hali ilivyo ya UVIKO 19 then nawaza maonyesho ya sabasaba, mlundikano kwenye mwendokasi @DARTMwendokasi na vyombo vingine vya usafiri @LatraTZ, mlundikano viwanjani dah @wizara_afyatz kunahitajika kazi ya ziada na elimu zaidi.
Pole sana Mh @freemanmbowetz