@Celsius015 leo sio mchezo kidogo boom liitike tumu 3 tu zimechana tupo mbioni kuipata pesa watu washakata tamaa ukichukua code sasa iv aileti kukwambia edit
@ema_fundi_nguo mzee hizi kampuni za betting jau sana hii crrect score mechi imeisha 0-0 mpaka sasa hivi sijalipwa na cash out imefungwa @betPawaTZ washakua jau sana sasa hivi
@betPawaTZ mmeanza wizi sasa hivi. mnaweza kunipa sababu gani cash out inagoma na mmefungia mechi ambayo imeisha tayari 1st half under 2.5 na mechi imeisha kabisa na bado mmefungia cash out hapo hapo?