@JamiiForums Ccm imeshakufa kitambo.zimebaki hizo taasisi zinakilibda tu.ndiyo maana tunahitaji katiba moya itakayotenganisha siasa na watendaji wa serikali
@YerickoNyerereT Mnalala na viatu KWA ajili ya hiyo NGOS . MACHAWA mmeshindwa kuisambaratisha ngo's MMEBAKI mnabweka kama mbwa koko.CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU
@JonMrema Unajitahidi kulemba maneno lakini bado unaonekamna poyoyo tu .vitendo mnavyofanya na matusi mnayotukanwa vinatofauti gani.huenda hata matusi mnayotukanwa ni afadhari kuliko hata aibu mnayojitia wenyewe