Kutokana na taatifa iliyotolewa jana na katibu mkuu wa Chadema Ndg. John Mnyika kuwa tarehe 18 na 19/01/2025 watakuwa na kikao cha kamati kuu, tarehe ambayo tulipanga iwe siku ya mdahalo yaani Jumamosi (18/01/2025).
Kwa kuheshimu vikao vya chama tumeamua kubadili tarehe ya mdahalo , na sasa mdahalo utakuwa siku ya ijumaa tarehe 17/01/2025, na Tayari tumewasilisha barua kwa wagombea na kwa katibu mkuu kumtaarifu kuhusu mabadiliko hayo.
🚨🚨🚨 @tanpol Kuna makachero,
wamekuja nyumbani kwangu Leo
Kunitafuta na Nguo za kiraia. Jaribio
Lolote la kuniteka halitovumiliwa na
Vijana Wenzangu, fuateni Sheria & siyo
Kunivizia, mmekuja na gar aina ya Spacio
Mmechora raman usiku mje kuniteka.?
ACHENI KUUMIZA WATU WEMA!
Kutokana na maandamano yaliyofanyika Jana Jiji la Dar es Salaam, unapata ujumbe gani kuhusu hali ya serikali na ushawishi wake kwa jamii? Ni kwa kiasi gani jamii inaonekana kuchoshwa na ahadi za chama cha mapinduzi kutokana na maandamano yaliyofanyika? #MariaSpaces#KatibaMpya
Aisee watu wamekuwa wakinitumia Pesa ya maji wakati wa Maandamano, nawaombea kwa Mungu mifuko yenu isikauke mzidi kuneemeka zaidi na zaidi, Muwe malango ya Baraka mtakapo na muingiapo, Nashukuruni sana 🙏