@HecheJohn Huyu amesahau Kama wana Wa Israel walidai uhuru wao kutoka kwa Farao kwa kila mbinu?
Au yeye anatumia Biblia yake Binafsi?
Amesau kama Mungu alitumia Maandamano ya Nyimbo, ngoma na Vifaa vingine Kuuangusha ukuta wa Yeriko?
Anasoma Biblianipi huyu?