"Tayari tiketi 12,000 zimeuzwa kwa ajili ya mchezo wa Simba dhidi Berkane inawezekana vipi CAF kuhamishwa uwanja hadi Zanzibar? Uwanja wa Aman Zanzibar hauwezi kuchukua watazamaji zaidi ya 15,000 hiyo sababu ya mvua ambayo inaonyesha tarehe hiyo hakutakuwa na mvua Dar es salaam๐