Mwamuzi wa mechi yaleo kati ya Czechia 🇨🇿 dhidi ya South Africa 🇿🇦 ni mwanamama Tori Penso kutoka Marekani
Penso ameandika historia ya kuwa miongoni mwa wanawake wachache kabisa kupewa jukumu la kuchezesha mechi za Kombe la Dunia la wanaume. Pia aliwahi kuchezesha Fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023
Leo macho sio kwa wachezaji pekee yake bali pia kwa mwamuzi mwenye uzoefu mkubwa wa mechi za kiwango cha juu anayechezesha Ligi kuu ya marekani MLS
Hatimae leo hii nimeiangalia nili save hii 😃.
Aisee hii documentary kali sana 🙌.
Yan KM 70 wanasafiri siku mbili 😭.
Safari ya boti KM 1730 wanasafiri mwezi mzima 😭😭😭😭
Naombeni nyingine kama hizi fupifupi nazo niangalie.😁🙏
@INFLUENCERjr umetisha
@ze_mandevu Karibu ujipatie ENGRAVED CHAIN Ikiwa na picha yako au maneno unayo taka yawepo au logo inawezekana.
ENGRAVED CHAIN price 35,000.
Nicheki Whatsup 0677523114.
Nipo kigamboni/ kariakoo.
Tunafanya delivery nzury na salama usio na mashaka.
Repost yako🙏
Mbona ulaya kina Kevin Hart na wengine wanadiss na kutukana mpk rais kwenye komedi zao ktk jina la kuchekesha???
Huko mbali sana....kenya tu hapo wanamfanya rais wanavyotaka kama babu yao
Nikumnukuu mwanangu @Roma_Mkatoliki "watanzania tuna UOGA,sio AMANI mnadanganywa"
Wachekeshaji wanapaswa kufundishwa kuzingatia itifaki, hasa kwenye hafla rasmi zenye viongozi wa serikali kama Mh. Rais. Mzaha bila kuzingatia mazingira ni hatari. Jana Said alikosea sana — ni kama hakuwa na mwongozo kabisa!