@Oziko_Jo@PresenterNoah Ureno ili isonge mbele impe CR7 dak chache either za mwanzo acheze dak 60 au za mwisho dak 30... Tukubali umri umeenda na hana nguvu... Hata kwenye team yake siku za karbuni kawa kituko akili inataka mwili unakataa๐๐
@AllyDimoso@PresenterNoah Unajua kwanini CR7 amechezeshwa namba 9 wakati hucheza Namba 7? Kocha anajua CR7 ni mfungaji mzuri lakini hawezi tena kupambna kutoka pembeni... Na ubora wake ni kwenye asili ya namba yake..Mashabiki bado wanaishi na CR7 Madrid wakati ukweli ni kwamba CR7 kaisha hana uwezo tena
@EsirEid Nadhani kuwalaumu wachezaji wa Ureno kimantiki sio kweli... Ukweli ni Kwamba Messi bado anaupiga mwingi licha ya kwamba wachezaji wanamzunga... Hapo hapo na yeye anakupa option kama assist nk.... CR7 umri umeenda achezeshwe kimahesabu na si dak 90.. Umri
@cleansheet_1 Barcelona kitamaduni haihitaji back misuri hahahahah mfano Pique pengne hakuwahi kuwa back kivutio ila kw utamaduni wa barca alikuwa bonge la back.. Kuna aina ya back wanafit kucheza Barcelona na si kila back... Barcelona inahitaji viungo wazuri na washambuliaji....
@cleansheet_1 Ni kweli lakini usisahau Barca imepitia kipindi kigumu kutokana sheria za ajabu za La Liga... Hata hapo ilipofikia hao madogo wanastahili pongezi... Lakini pia ni project nzuri soon itawalipa mfano kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye maeneo kadhaa ni Club inaweza fanya maajabu
@RevocatusMagum1 Ninadhani hilo pia ni Tatizo la Taifa na Vilabu vyetu kutokuwajengea misingi ya matamanio ya mafanikio na kujituma... Kama Dira yetu ni kupata wachezaji wazuri Elimu na msingi wa nidhamu ya soka ilipaswa kujengwa kwa hawa vijana... Kwani Senegal wanawezaje..
DID YOU KNOW?
After scoring this Puskas worthy goal for Simba SC against Yanga SC, Clatous Chama became one of the oldest players to score in the Kariakoo Derby at the age of 34 years โฝ๏ธ๐คฏ
#SimbaSC#NguvuMoja#Timuyawananchi#YangaSC#KariakooDerby