Chairman Of Mtwara Youth Development Forum/Founder of The Guest Tender Group/Former Stemmuco Ministry of Culture Arts & Sport/Social Activist/Entrepreneur.
Fay Momo 🗣️
"Mr. Mwanya alinilipa Mil. 10 ili tuwe wapenzi kwa sababu kuna pambano walikua wakilipromote yeye na baba angela "
---------------------
Usanii unahitaji investment aiseee, sa 10M for what?
Kijana mwezangu una muamini dereva ambaye hata haumjui, una muamini Rubani ambaye hata haumuoni akiwa anaendesha ndege. Kwanini ushindwe kumuamini MUNGU wakati unapitia changamoto kwenye maisha? Nguvu ya Mungu ni kubwa zaidi ya hofu zako. Fanya kazi kwa bidii na mtegemee yeye.
MUNGU huwa anainua watu katika nyakati ambazo hawatarajii kabisa. Kipindi unaishiwa mipango, unakosa fursa, pesa zinakata, MUNGU hujitokeza na kuonesha ukuu wake. Endelea kumuamini na kumtegemea sababu MUNGU aliyelisha watu jangwani, akafungua milango ya wafungwa kamwe hatakuacha
Kijana mwenzangu usijisikie vibaya ukahisi umechelewa, kila mtu ana njia yake na muda wake. Ishi kwenye muda na njia yako, wakati wako wa kupata ajira, wa kuanzisha familia, wa biashara yako kustawi na kufanikiwa upo na unakuja. Endelea kupambana na mtegee MUNGU daima.
Madaraka yana mwisho, Vyeo havidumu na Mamlaka sio ya milele. Tenda Haki kwa kila mtu bila ubaguzi huku ukiishi kwa unyenyeveku. Tena daima hakikisha safari yako ya maisha hapa duniani inatawaliwa na matendo yaliyo mema.
@McinikaWaLamar "Tunaweza tusiwe bora kwenu, lakini sisi ni bora sana kwenye familia zetu hivyo tafadhari msitubanie nafasi na kama mtashindwa kutusemea kwa wema basi ni vyema mkakaa kimya."- Chikundi
@BIDDALMASK @Deo18Tarimo Mzee sio kila kitu kinaweza kuwa na taswira ya kisiasa kuna mengine ni yakibinadamu na siku zote yatabaki kuwa hivyo maana hata the great Nation USA bado wapo raia wake wanaishi maisha magumu.
Mvulana anakuwa Mwanaume kupitia maumivu, kushindwa, kukataliwa, kupoteza, kudharauliwa, kukabiliana na hatari kubwa, na kuvunjika moyo sio kadri umri unavyoongezeka
Mtume Muhammad (s.a.w) amesema Anaposwali Mwanamke Swala Zake Tano na Akafunga Mwezi wake (Ramadhan) na Akahifadhi Tupu Yake na Akamtwii Mme Wake.. Ataambiwa Yeye Siku ya (Qiyamah) Ingia Mlango Uutakao
Hadeeth Swahih....