Huu ni miongoni mwa misako ya jeshi la polisi nchini Brazil dhidi ya wahalifu, Msako wenye kusisimua na kushangaza zaidi niliowahi kuuona mitandaoni.
Kinachostaajabisha zaidi ni jinsi polisi na mtuhumiwa walivyoweza kudumu katika mwendo kasi wa pikipiki kwa muda mrefu bila kukata tamaa wala kupunguza mwendo!